TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
Habari ID: 3474896 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06
TEHRAN (IQNA)-Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) imelaani vikali hujuma ya askari wa Nigeria dhidi ya matembezi ya amani ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja.
Habari ID: 3474363 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30
Polisi Nigeria jana Jumanne iliwashambulia waombolezaji waliokuwa katika marasimu ya siku ya arobaini ya mjukuu wa Mtume wa Uislamu, Imam Hussein AS na kuuwa shahidi Waislamu wasiopungua wanane.
Habari ID: 3474361 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29
Katika mahojiano ya kwanza tokea aachiliwe huru
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky amesema waliowengi nchini humo wataunga mkono mfumo wa utawala wa Kiislamu iwapo watapewa hiari ya kuchagua.
Habari ID: 3474360 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29
TEHRAN (IQNA)- Mahakama Kuu ya Jimbo la Kaduna nchini Nigeria Jumatano ilifutilia mbali tuhuma zote alizobambikiziwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na mkewe, na kutoa amri ya kuachiliwa kwao mara moja.
Habari ID: 3474142 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/30
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria jana Ijumaa walijitokeza kwa wingi katika matembezi ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika miji mikubwa ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3473889 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/08
TEHRAN (IQNA) – Maandamano yamefanyika katika mji mkuu wa Nigeria, ya kutaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
Habari ID: 3473822 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17
SheikhAdam Ahmad Tsoho
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Nigeria inaogopa misimamo na fikra za Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo na hivyo haina nia ya kumuachilia huru.
Habari ID: 3473772 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30
TEHRAN (IQNA) – Mahakama ya Nigeria imeakhirisha tena hadi Machi 10 kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini iliyoanza kusikilizwa wiki hii bila ya yeye kuweko mahakamani.
Habari ID: 3473595 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/27
TEHRAN (IQNA) Polisi nchini Nigeria wamehujumu maandamano ya amani ya wananchi ya kupinga kusikilizwa kesi ya Sheikh Iibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3473592 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Nigeria imetakiwa imuachilie huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya mke wake, Malama Zeenat, kuambukizwa corona au COVID-19 akiwa anashikiliwa jela.
Habari ID: 3473583 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23
TEHRAN (IQNA)- Leo Waislamu wa Nigeria wanakumbuka mauaji yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3473449 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12
TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Nigera jana Jumanne waliendeleza maandamano yao katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja, kushinikiza kuachiliwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3473391 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiliwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe Malama Zinat Ibrahim ambao hali zao za kiafya zinazidi kuwa mbaya siku baada ya siku.
Habari ID: 3473164 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/13
TEHRAN (IQNA) – Wafuasi wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja wakitaka serikali imuachilie huru.
Habari ID: 3473062 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/13
TEHRAN (IQNA) –Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) yenye makao yake London, Uingereza imeitaka serikali ya nchi hiyo imuachilie huru mara moja mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake ambao wamekuwa wakishikiliwa kizuizini tokea mwaka 2015 kwa mashtaka yasiyo na msingi.
Habari ID: 3473012 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29
TEHRAN (IQNA) – Mawakili wa Sheikh Ibrahim Zakzaky wameitaka Mahakama Kuu ya Nigeria kutupilia mbali kesi dhdi ya yake itoe amri ya kuachiliwa huru mara moja mwanazuoni huyo na mke wake.
Habari ID: 3472976 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/18
TEHRAN (TEHRAN) - Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja wakitangaza uungaji mkono wao kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa harakati hiyo ambaye anaendelea kushikiliwa kizuizini licha ya hali yake mbaya ya afya.
Habari ID: 3472942 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/08
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya Nigeria imeakhirisha tena kusikiliza kesi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi mwezi Aprili.
Habari ID: 3472503 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/25
TEHRAN (IQNA) - Kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria pamoja na mkewe iliyokuwa ianze kusikilizwa jana imesogezwa mbele kutokana na hali mbaya ya afya zao iliyowafanya washindwe kufika mahakamani.
Habari ID: 3472448 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/07